Habari Habari Picha: JPM awasili nchini Namibia 6 years ago Comments Off on Habari Picha: JPM awasili nchini Namibia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amepokelewa na mwenyeji wake Rais, Hage Geingob wa Namibia tayari kwa kuanza ziara rasmi ya Kitaifa nchini humo. Mama aliyekamatwa Uhamiaji Marekani azuiwa kumzika mwanaye Marufuku ya mifuko ya plastiki kuibua fursa ya kiuchumi