Michezo Habari Picha: Wachezaji wote wa Simba wapata tuzo 6 years ago Comments Off on Habari Picha: Wachezaji wote wa Simba wapata tuzo Wachezaji wote wa Simba msimu wa 2018/19 wamekabidhiwa tuzo kila mmoja kutoka kwa Bodi ya Wakurugenzi, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa mmoja mmoja katika klabu. Video: Balaa lingine mifuko ya 'rambo' lafichuka, Profesa Kabudi aeleza nchi inavyolindwa LIVE: Yanayojiri Bungeni jijini Dodoma