Live: Rais Magufuli akizindua mradi wa Rada uwanja wa ndege
5 years agoComments Off on Live: Rais Magufuli akizindua mradi wa Rada uwanja wa ndege
Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mradi wa Rada leo Septemba 16, 2019.