Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara awahofia Tanzania Prisons, awatahadharisha wachezaji wao ili kuokoa kibaura cha kocha wao Patrick Aussems, kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Prisons kwenye ligi kuu Tanzania bara…, Bofya hapa kutazama
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=qf9TfECSr6U]

Ibrahim Traore na wengine 23 waitwa Ivory Coast
Ndayiragije ataja jeshi litakaloivaa Equatorial Guinea, Libya