JPM aanika alivyo nusurika kifo kwa kunyweshwa sumu, mambo sita anayo jutia mzee mkapa,Mkapa afichua mambo mazito, Wanaume msihangaike ‘ku-boost’ fanyeni mazoezi-Jafo, Kitabu cha Mkapa kizito, watumishi 18 kusakwa kwa kupoteza fedha za wananchi, Januari Makamba auweka rehani ubunge wake, Bunge laridhia upimaji mpya HIV kupitia mate, Mbwa kukagua nyara za Serikali bandarini, mitaani…,Bofya hapa kutazama Habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Jumatano Novemba 13, 2019.