Taasisi ya madaktari nchini Bangladesh (BDF) imetoa taarifa kuwa takriban madaktari 251 wamepata maambukizi ya virusi vya corona nchi humo.

(BDF) imelalamikia ukosefu wa vifaa kinga (PPE) kuwa chanzo cha Madaktari kupata maambukizi kutoka kwa wagonjwa wanaowahudumia.

Imeelezwa kuwa Serikali imekuwa na changamoto ya kuwalinda watumishi wa afya ili wasipate maambukizi ya Virusi hivyo Kufuatia ongezeko la waathirika wa covid 19 nchini humo,

Nchi hiyo imerekodi maambukizi 4,186 na vifo 127 hadi sasa huku waliopona wakiwa 108.

Dar kinara ukusanyaji wa mapato nchini
Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 8