Michezo Picha: FC Bayern Munich Bingwa 2019/20 5 years ago FC Bayern Munich wameshinda taji lao la 8 mfululizo la BUNDESLIGA baada ya Ushindi Wa Mchezo Dhidi Ya Werder Bremen Jana Jumanne goli 1-0, goli la mshambuliaji wao hatari kabisa Roberto Lewandowsk. Matokeo ya michezo mingine ya ligi ya Ujerumani iliyochezwa jana Jumanne. Sakata La Morrison: Young Africans yabadili kete ya mchezo PSG yamuwinda David Alaba