Uhalali Mawaziri kufanya kazi baada ya Bunge kuvunjwa
5 years ago
Mawaziri ni Wabunge, kwanini wanafanya kazi wakati muda wa kuwa wabunge umeisha na bunge limevunjwa?, Wakili wa kujitegemea, Leonard Manyama, ameeleza kikatiba uhalali wake na uwezekano wa Rais kuteua wengine na kuongeza muda…..Bofya hapa kutazama