Bajeti ya Serikali 2020/21 ni Triloni 34.8, deni la Taifa ni trilioni 54.97, jambo ambalo limeacha maswali kama huenda deni likateteresha uchumi.
Mtaalamu wa uchumi, Innocent Ndoyabike amewatoa hofu watanzania na kueleza maana halisi ya deni la Taifa na kwanini Serikali hukopa…..Bofya hapa kutazama