Kwa muhtasari:
Nafasi: Mtangazaji, muandaaji wa habari (TV) – Nafasi 2
Elimu: Kuanzia ‘Diploma’ ya uandishi wa habari na utangazaji
Jinsi ya kuomba: Tuma Wasifu (CV) na DEMO ya Video, kupitia barua pepe: dar24fursa@gmail.com rukhsa kutuma video-demo zilizorekodiwa kwa simu.
Mwisho wa kupokea maombi: Agosti 10, 2020
Wanawake wanahamasishwa kuomba.
Ofisi ziko Mikocheni B, Dar es Salaam.
Simu: +255 679 979 786
Pakua kiambatishi hapa chini kusoma tangazo na kuomba: