Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Leo Julai 5, 2021 amefanya amemteua Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu ‘FIU’.

Aidha kabla ya uteuzi Fatm alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Dar es salaam CMS.

Uteuzi huo umeanza leo Julai 5, 2021.

Penati za Morrison zamkera 'Mo'
Wachezaji Young Africans walamba milioni 500