Kikosi cha Young Africans kimeondoka Dodoma asubuhi hii kurudi Dar es Salaam, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho (ASFC).
Young Africans walicheza mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu msimu wa 2020-21 dhidi ya Dodoma Jiji FC na kuambulia sare ya 0-0.