Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia taarifa aliyoitoa imesema kuwa kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa kifungu cha 9(b) cha sheria ya huduma za habari na .12 ya 2016 amesitisha kwa muda wa siku kumi na nne(14) leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti la uhuru kuanzia agosti 12, 2021