Serikali ya Tanzania na Kenya imetia Saini hati ya makubaliano katika sekta mbalimbali kupitia mawaziri wa nchi zote mbili Ikulu mkoani Dar es Salaam mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Rais Uhuru Kenyatta ambaye yupo nchini kwa ziara ya siku mbili.

Kati ya makubaliano yaliyofanyika na kutiasaini hati hizo ni pamoja na hati ya makubaliano upande wa uhamiaji, hati ya makubaliano masuala ya Afya, hati ya makubaliano uthibiti wa magonjwa ya mifugo mipakani, hati za makubaliano masuala ya Nyumba, na hati za makubaliano katika uwekezaji.

Aidha Rais Uhuru Kenyatta yupo nchini kwa ziara ya siku mbili kikazi.

Jaji Mkuu ateta na Mawakili
Bango la GSM lawakimbiza Simba SC