Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano, uliofanynywa na Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx leo tarehe 17 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO) Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.
Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi akisaini Hati ya makubaliano na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx leo tarehe 17 Februari, 2022.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Februari 18, 2022
Lukuvi ateta na Waziri Dkt Angelina Mabula