Habari Habari picha: uzinduzi wa maonyesho ya nne ya kimataifa ya uwkezaji katika sekta ya madini 3 years ago Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Ibrahimu Uwizeye wamezindua Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022 Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye wakitembelea banda la Kampuni ya TANZGraphite katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022. Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Ibrahimu Uwizeye wakitembelea banda la Kampuni ya FARU Graphite Corparation katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022 Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye wakitembelea banda la Kampuni ya SHANTA GOLD katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022. Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko akizungumza jambo na Waziri wa Nishati na Madini wa Burundi, Mhe. Ibrahimu Uwizeye katika Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Sekta ya Madini yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaotarajiwa kuanza mapema kesho tarehe 22 hadi 23 Februari, 2022. Simba SC, Young Africans zachonganishwa ASFC Waziri Biteko awaonya watorosha madini