Bodi ya Ligi Tanzania Bara ‘TPLB’ imetangaza kuwa Mchezo wa simba SC dhidi ya Dodoma Jiji FC utapigwa saa moja usiku na sio saa kumi tena kama ilivyotangazwa hapo Awali.

Taarifa ya ‘TPLB’ imeeleza kuwa tayari Matengenezo ya Jenereta la Uwanja wa Mkapa yamekamilika.

Urusi yaimarisha mashambulizi miji kadhaa ya Ukraine
Waziri Jafo: Bidhaa nyingi zinaviwango vya kimataifa