Kampuni ya kuuza bidha za kifahari Gucci imetoa kiatu cha “jelly slippers”maarufu Afrika Mashariki kwa jina la chachacha.

Kiatu hiki cha Gucci kinauzwa dola 490 za Kimarekani, ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 1.1 za kitanzania, na ni kiatu cha miaka ya 90.

Toleo la “jelly slippers” linakuja kwa rangi nyeusi, waridi na zambarau, na limepambwa kwa motifu ya chapa ya GG.

Kwa mujibu wa Gucci.com, mitindindo hii ni ya miaka ya 90, viatu hivi vimetengenezwa kwa raba na umaliziaji wa uwazi pia ni kutokana na ‘recalling’.

Timu Wanawake chini ya miaka 17 kuitwa Serengeti Girls
Abdu Kiba apinga bifu la Diamond na Ali Kiba