Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Malawi Balozi Humphrey Polepole.
Viongozi hao wamezungumzia masuala mbalimbali ya uwakilishi yenye manufaa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania