Timu ya Taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls hii leo wamehudhuria Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kubwa kuliko yote ni kuwa Timu hiyo imeruhusiwa kukalia viti vya Mawaziri na wamepewa nafasi ya kuhutubia Bunge tifauti na wageni wengine.

Guterres afungua mkutano wa mawasiliano wa Dunia Rwanda
ADF yahusishwa mauaji watu 20 DRC