Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau wapya wapatao 3000.

Dkt. Samia ambaye yupo nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa Wakuu wa nchi wa Afrika na Marekani, amesema mkutano huo utaendeleza uimarishaji wa mifumo ya chakula na kilimo Katika vipaumbele vya serikali, kupeana taarifa na kutumia teknolojia ya kisasa kwa ajili ya mifumo imara ya chakula.

Majaliwa azindua kiwanda cha Maziwa
GPA 'zawekwa pembeni' mchakato ajira mpya