Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro limethibitisha kuokotwa kwa  miili mitatu ya watu wakiweo watoto wachanga wawili (Mapacha), na mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25.

Baadhi ya Wananchi wakiwa eneo la tukio

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro, Alex Mkama amesema watu hao wamekutwa katika mazingira tofauti huku watototo wachanga wakitupwa eneo la msamvu.

Uboreshaji Shirika la Ndege nchini wagharimu Bilioni 20.52

Moja ya miili iliyopatikana Mkoani Morogoro.

Amesema, mwili wa mtu mzima ulikutwa eneo la chini ya daraja  la Reli ya kati (Barabara kuu ya Morogoro – Iringa), ukiwa na majereha sehemu mbalimbali za mwili ambapo chanzo cha matukio hayo bado hakijafahamika.

Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro, Alex Mkama.

Kocha Kagera Sugar ailia yamini Young Africans
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo April 7, 2023