Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki maadhimisho ya Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo kitaifa yamefanyika Zanzibar hii leo Mei 3, 2023 Mkoa wa Mjini Magharibi.

Zifuatazo ni baadhi ya Picha zikionesha matukio mbalimbali tangu kuwasili kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi ukumbini.

Rais Mwinyi alipowasili katika kongamano la Miaka 30 ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani lililofanyika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Airport , Mkoa wa Mjini Magharibi.

Ukubwa wa jimbo: Dkt. Tulia aomba Mbeya igawanywe
Mafuriko yauwa 109 mikoa ya Magharibi, Kaskazini