Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili jijini Mwanza kwenye ufunguzi wa Kongamano la wiki ya madini Tanzania lililoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA)

Majaliwa amewasili Mkoani humo hii leo Mei 9, 2023 ambapo atamuwakilisha Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kwenye ufunguzi wa Kongamano hilo muhimu.

UNFPA yaendeleza mapambano kufikia 0% vifo vya wajawazito
Mikel Arteta: Bado tuna ndoto za ubingwa EPL