Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Washauri wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Abdallah Bulembo, Haji Omar Kheir, Rajab Luhwavi na William Lukuvi.

Picha hiyo ya kumbukumbu imepigwa mara baada ya kuapa kiapo cha Maadili ya Viongozi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, hii leo Juni 16, 2023.

Aidha, Rais Samia pia alipata kumbukumbu ya picha na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Balozi Dkt. Moses Kusiluka katika na Viongozi aliowaapisha.

Viongozi mbalimbali walioapishwa wakila Kiapo cha Maadili ya Viongozi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Moloko alamba mkataba mpya Young Africans
Maboresho sekta ya Utalii yapo njiani - Mwigulu