Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Washauri aliowateuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii.

Wateule hao ni Abdallah Bulembo, Haji Omar Kheir, Rajab Luhwavi na William Lukuvi mara na alizungumza nao mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dodoma Juni, 2023.

Zifuatazoo ni baadhi ya picha zikionesha matukio mbalimbali wakati viongozi hao wakila kiapo.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Juni 17, 2023
Biashara mtandaoni kulipiwa kodi - Serikali