Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu Jijini Lilongwe Malawi.

Julai 1, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi Kayola kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi.

Leandre Onana apewa maua yake Simba SC
EWURA yawaonya wafanyabiashara bei ya petrol, dizeli ikishuka