Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Balozi Siwa ameapishwa hii leo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2023, akichukua nafasi ya Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

Balozi Ali Idi Siwa, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Agosti 29, 2023
STAMICO yapaa kimageuzi, mapato yaongezeka