Shirika la Hifadhi za Taifa – TANAPA, limeuarifu umma juu ya tukio la Askari wake wawili kujeruhiwa wakati wakitekeleza majukumu yao, huku likiwaonya majangili kuacha kujishughulisha na vitendo hivyo vinavyodhulumu haki ya mapato kwa Watanzania na Taifa zima kiujumla.

Watakiwa kutoamini, kutoshiriki vitendo vya ushirikina
Uhakiki: WMA yawaita wanaotilia shaka dira za maji