Uongozi wa Kampuni ya Mwiba Holdings Limited, wamekanusha taarifa walizodai kuwa ni za uongo ambazo zilitolewa katika mkutano wa hadhara wa kisiasa kuwa wanamiliki ekari Milioni sita za eneo la Hifadhi ya Mbuga za Wanyama lililopo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu.

Mohamed Salah awekewa Milioni 200
Miquisson ajibebesha jukumu Simba SC