Serikali Nchini, imepiga marufuku uingizaji na matumizi ya majokofu, vizima moto na viyoyozi vya Mtumba kutokana na kuathiri mazingira na kuharibu tabaka la Ozone.

Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo tayari elimu imetolewa kwa umma kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa Tabaka la Ozone.

Hii si mara ya kwanza kutangazwa kwa marufuku hiyo, jambo qmbalo linaacha maswali ni kwa kiasi gani marufuku ya sasa itatekelezwa.

Hofu yamtawala Kocha wa Al Merrikh
Paul Pogba akumbwa na janga jipya Italia