Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekabidhi Mpango wa Taifa wa Dharura wa Kuzuia na Kukabiliana na Madhara ya El Nino kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu pamoja na viongozi wa baadhi ya Taasisi za Serikali.

Dkt. Biteko amekabidhi mpango huo baada ya kuuzindua hii leo Oktoba 13, 2023 jijini Dodoma na zifuatazo ni picha za baadhi ya matukio wakati wa uzinduzi na makabidhiano hayo.

Mapendekezo muundo wa Elimu, mabadiliko mitaala yawasilishwa
Kombe la Dunia 2034: Saudi Arabia majaribuni