Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Wafanyabiashara wa katika Soko la Wamachinga Parking mjini Nzega.

Rais Samia, alitembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua changamoto mbalimbali katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Tabora hii leo Oktoba 18, 2023 na zifuatazo ni picha za baadhi ya matukio akiwa Sokoni hapo.

Gibril Sillah: Simba SC imeishika Afrika
Neymar apata mtetezi Brazil