Watu wanne wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa kufuatia ajari ya gari aina ya Totota Hiace iliyotokea hii leo Desemba 5, 2023 Kata ya Kemondo eneo la Kyetema Wilayani Bukoba Mkoani Kagera.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi wa Polisi, Zablon Chatanda amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na taarifa zaidi zitakuijia hivi punde endelea kufuatilia kuraza zetu za mitandao ya kijamii.

Arsenal yakabidhiwa ubingwa England
Mafuriko: Mto wavunja kingo, watu wahamishwa