Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 leo Januari 15, 2024 ameongoza kikao cha kwanza cha kamati hiyo,  kilichofanyika Zanzibar.

Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulah ambaye ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo.

Taasisi za Kisheria zitoe huduma bure kwa Wananchi - Chana
Idadi ya Wagonjwa wa Kipindupindu imepungua - DC Sima