Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Wakuu wa Wilaya za Lushoto na Pangani.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imeeleza kuwa, Rais Samia pia amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri na Makatibu Tawala, na kufanya uhamisho wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri.

Sitisho la mapigano mwezi Mtukufu lakwama
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Machi 12, 2024