Habari Maisha Matukio Mkeka mpya wa Rais Samia: Mafuru Mkurugenzi TTB 9 months ago Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa baadhi ya Viongozi, huku akimteuwa Efraim Mafuru kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Nchini – TTB. Simulizi: Nimethibitisha - ni kweli mapenzi yalizaliwa Tanga NIRC kukamilisha ujenzi miundombinu ya umwagiliaji