Jaji wa Mahakama ya Juu ya Brazil, Alexandre de Moraes ameanzisha uchunguzi dhidi ya mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X, Elon Musk, anayetuhumiwa kuzuia uchukuaji wa sheria dhidi ya watumiaji wa mtandao wake.
Musk ambaye ni mmiliki huyo wa mtandao wa X anapingana na uamuzi wa Jaji Moraes unaoutaka mtandao huo kuzifungia baadhi ya akaunti za watumiaji akisema X itaondoa zuio dhidi ya watumiaji hao kwa kuwa ni kinyume na katiba.