Ukraine imesema haitajiunga na NATO kutokana na hofu ya kuuingiza muungano huo katika vita na Urusi, huku maandalizi ya mkutano wa kilele wa umoja huo, ambao utafanyika Washington Julai 9-11 ukiwa maalum kwa maadhimisho ya miaka 75 ya muungano huo.

Mwaka 2023, Zelensky alisema hali hiyo si ya kawaida kutokana na Viongozi wa NATO kukataa kuikaribisha Ukraine kuwa mwanachama kamili katika mkutano wa Vilnius, huku Sweden ikitangaza usaidizi wa kijeshi kwa Ukraine unaofikia euro bilioni 1.16 kwa kujumuisha ndege ya kutambua rada ya ASC 890.

Waziri wa Ulinzi wa Uswidi, Paul Johnson amesema rada hiyo itakuwa na mchango mkubwa zaidi kwa ulinzi wa anga wa Ukraine, kwani itaongeza na kuimarisha ndege za kivita za F-16 za Marekani ambazo zinatarajia kutambua makombora ya masafa marefu, ndege zisizo na rubani na zile za ardhini na baharini.

Makombora hayo, pia hutumiwa na ndege za kivita za F-16, ambazo Ukraine inatarajia kupokea kutoka nchi za Ulaya mwishoni mwa mwaka.

Serikali kukarabati vituo vikongwe vya Afya nchini
Ziara ya Rais Samia Korea kuleta Trilioni 6.5