Taasisi ya Watumishi Housing Investments –  WHI, imeshinda tuzo ya Fund Manager of the Year 2024 katika tuzo za Africa Company of the Year Award – ACOYA.

Tuzo hizo, zilizoandaliwa na The Global CEO Institute na zilitolewa usiku wa Mei 31, 2024 Masaki, jijini Dar es Salaam.

Nchi nane kutoka barani Afrika zimeshiriki katika hafla hiyo na hii inakuwa ni mara ya pili kwa WHI kushinda tuzo hizo.

Mwaka jana (2023), WHI pia ilishinda tuzo ya Property Developer of the Year 2023.

Mzozo wa Bahari: Ufilipino yatishia kuishambulia China
Wananchi waelimishwa umuhimu wa matumizi Nishati safi ya kupikia