Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Kupokea, Kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa cha Inyonga Mkoani Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa kuhusu Mitambo ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa kuhusu Mitambo ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga hii leo Julai 13, 2024.

Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Taswira ya Miundombinu pamoja na Kituo cha kupoza, kupokea na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi.

GEF yazipongeza MIF, TAMWA ZNZ kuwawezesha Wanawake kupata haki
Ludewa: Wanakijiji wote wakatiwa Bima ya afya