Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inatakiwa kukuza uwezo wa maghala yake na mpaka kufikia mwaka 2030 Nchini kote tufikie Tani milioni tatu ingawa uwezo wetu wa mahitaji ni chini ya hapo.

Ameyasema hayo hii leo Julai 13, 2024 wakati akizindua Vihenge Ghala la Vyakula na ofisi ya wataalam wakala wa Taifa wa uhifadhi wa chakula NFRA mkoani Katavi.

Jaribio la kumuua Trump: FBI waanza uchunguzi
Rais Samia: Waacheni Watoto wakue, wasizae Watoto wenzao