Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Samia Suluhu Hassan imetatua changamoto ya bei elekezi ya mahindi mkoani Katavi iliyolalamikiwa kwa muda.

Kupitia Wizara ya Kilimo na Waziri wa Wizara hiyo, Hussein Mohamed Bashe amesema bei ya wakulima kuanzia leo Vituo vyote vya ofisi ya wataalamu wakala wa Taifa uhifadhi wa chakula (NFRA), Vijijini mahindi sio 500 ni 600 kwa kilo na makao makuu ya miji ni 650.

FEMATA waomba bei elekezi tozo kwa Wachimbaji wadogo
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Julai 15, 2024