Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema akiwa mkoani Rukwa wakati wa ziara yake ameangalia miundombinu ndani ya mkoa huo na ameutaja uzinduzi wa Barabara ya Sumbawanga -Matai -Kasanga na kusema matumaini ni kwenda kupunguza mrundikano wa Malori Tunduma.

Barabara hiyo yenye urefu wa Km 107 inaelekea mpaka Bandari ya Kasanga.

Wakati huohuo, RaisSamis  amesema uboreshwaji wa Barabara nyingine zenye tija unaendelea mkoani humo.

Wakazi wa Chala kuondokana na kero ya Maji
Sumbawanga: Bilioni 20.3 zajenga barabara kupendezesha mji