Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ahadi ya Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kufanya mpango wakuteremsha maji milimani ili yaende kwa Wananchi ni hatua ya awali wakati wakisubiria mradi mkubwa wakutoa Maji Ziwa Tanganyika.

Mji wa Sumbawanga hali ya upatikanaji wa maji ni  asilimia 96, lakini kwa maeneo ya Vijijini Rais ilikutana bado kua kero ya Maji ikiwemo Chala.

Chala ni kata ya Wilaya ya Nkasiiliyopo katika Mkoa wa Rukwa na a mbunge wa Jimbo ni Vicent Poul Mbogo.

Rukwa: Malalamiko yafanyiwa kazi, bei ya Mahindi kilo Tsh. 700
Bandari ya Kasanga kupunguza mrundikano wa Malori Tunduma