Picha za matukio mbalimbali iikiwemo ile ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan alipowapungia mkono wa kweheri maelfu ya Wananchi wa Sumbawanga Mkoani Rukwa waliofurika Uwanja wa Nelson Mandela wakati wa kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo hii leo Julai 17,2024.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Julai 18, 2024
Rukwa: Malalamiko yafanyiwa kazi, bei ya Mahindi kilo Tsh. 700