Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge.

 

Balozi Mbarouk ameandika barua hiyo hii leo Jumapili Julai 21, 2024 akisema amefikia uamuzi huo kufuatia changamoto za kijamii zinazomkabili..

 

Biden ajitoa kinyang'anyiro cha Urais Marekani
Ukaguzi vyombo vya moto: Polisi yapiga marufuku fedha taslim