Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua William Lukuvi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, imeeleza kuwa Lukuvi anachukua nafasi ya Jenista Mhagama, ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Afya.

Prof. Kabudi ateuliwa Waziri wa Sheria, Katiba
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Agosti 15, 2025