Kamati ya Kudumu ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti Justine Nyamoga leo imekutana na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi na Kujadiliana kwa Pamoja namna ya utekelezaji wa programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Aridhi (KKK) kwa ofisi za Halmashauri.

Kamatihiyo, imeielekeza Wizara ya Ardhi kuendelea kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI katika utekelezaji wa Programu hiyo kwani wao ndio wasimamizi wakuu wa Halmashauri hizo.

Silaa: Mradi ukamilike kwa wakati bila kuathiri ubora
Watuhumiwa kesi ya kubaka, kulawiti wafikishwa Mahakamani