Kunta Kinte, “Mwafrika” ni mhusika katika riwaya ya Roots ya 1976. Alizaliwa mwaka1750, akaishi kitumwa na kisha kupelekwa Amerika.

Alikuwa mwanachama wa ukoo wa Kinte ulioheshimika sana wa watu wa Mandinka wa Taifa la Gambia akiacha simulizi za kuvutia zinazoweza kukufunza maishani.

Ni shujaa ambaye alikuwa msomi, mwerevu, stadi, hodari, shujaa na mwenye kiburi, alikuwa kijana mwenye ujasiri mkubwa uliomtia nguvu alipotekwa na watumwa.

Kunta, hakuwahi kulikubali jina na dini aliyopewa na mtumwa wake na hakukata tamaa katika ndoto yake ya kurudi katika nchi yake na aliwapa changamoto watu wengine waliokuwa watumwa kupigania uhuru wao.

Manchester United yamkacha nyota wake
Taifa Star: Tuko imara kuwakabili Waethiopia